UnasemaUshindi lazima.
labda mshinde njaaUshindi lazima.
UtopwinyoxAzam 01- Yanga 03
Uwakika 🙌🙌🙌Utopwinyox
Tena nyingiMfungwe tu
Sema zikiwa nyingi lawama zitaenda kwa Karia na TFFTena nyingi
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO....MATCH DAY
#NBCPremierLeague
️ Azam FCYoung Africans SC
17.03.2024
Benjamin Mkapa Stadium.
02:30 Usiku
View attachment 2936746
Leo Leo ndio leo kivumbi na jasho...
Azam wanaumana na Yanga leo 17.03.2024 muda ni kuanzia saa 2:30usiku.
Historia inaonyesha Yanga ameibuka mshindi mara nyingi zaidi timu hizi zinapokutana.
Daima mbele, nyuma mwiko!!
Mbona zao hazikupelekweSema zikiwa nyingi lawama zitaenda kwa Karia na TFF