Mkuu sofa ya viti viwili inauzwa 120000. na friji bei yake 180000. Kwa anayehitaji tuwasiliane uje uone mwenyewe.weka picha ya hivyo vitu na hiyo bei nafuu iweke wazi..
Mkuu sofa ya viti viwili inauzwa 120000. na friji bei yake 180000. Kwa anayehitaji tuwasiliane uje uone mwenyewe.
Sehemu gani? Nakwanini unauza?
OK, sipo dar. Ningekuja. Ahsante.
Hii biashara, kweli watz hatujielewi, jambo jepesi unalifanya kuwa gumu.
you never know......:shocked:
Hii biashara, kweli watz hatujielewi, jambo jepesi unalifanya kuwa gumu.
Si biashara tu bali hata mambo mengine ya kijamii, kisiasa na kiuchumi...
Mtu anauza friji lakini haelezi sifa ya hilo friji kama rangi, ukubwa, brand n.k
Vitu hivyo vimetumika muda gani na sababu ya kuviuza...
Eti anasubiri atafutwe whatsapp au mtu amfuate huko Tabata....thubutuuuu!!!!
Kwanza ukiona hivi shtuka, jua biashara ya magumashi tu hii.
Biashara ya kweli mtu huweka wazi, biashara itoke afanye mengine.
Hiyo sofa ni keko ??? Kitambaa chake ni velvet..au leather???
Yap, sio bure hapo.