P pachanya JF-Expert Member Joined May 20, 2012 Posts 2,131 Reaction score 2,385 Apr 16, 2017 #1 Friji brand ya BOSS Inauzwa. Bei 270,000 fixed (haipungui) Mahali ilipo kimara Dar es salaam Imetumika mwaka mmoja bado ipo kwenye muda wa warranty Mawasiliano; 0654505476
Friji brand ya BOSS Inauzwa. Bei 270,000 fixed (haipungui) Mahali ilipo kimara Dar es salaam Imetumika mwaka mmoja bado ipo kwenye muda wa warranty Mawasiliano; 0654505476
OSOKONI JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 10,965 Reaction score 5,344 Apr 16, 2017 #2 Nani anunue mtumba kwa bei hiyo
Distinction JF-Expert Member Joined Sep 20, 2014 Posts 747 Reaction score 399 Apr 16, 2017 #3 watanzania na Duniani kwa ujumla hatujazoea hivyo, bora ungeanza hata na 300000 alafu ndo uje Ukomee kwenye hyo 270 yako.
watanzania na Duniani kwa ujumla hatujazoea hivyo, bora ungeanza hata na 300000 alafu ndo uje Ukomee kwenye hyo 270 yako.
BRO SANTANA JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 1,845 Reaction score 2,249 Apr 16, 2017 #4 Bei nzuri sana hiyo jamani acheni majungu. Daaa sema nipo Mbeya hiyo kitu mate yananitoka live