Friji aina ya CANDY linauzwa na bei ni tsh.250,000/-.Bado lipo vizuri sema picha nimeshindwa kudownload lakini ukihitaji tunaweza tumiana kwa hata whatsapp.
Lipo Tabata matumbi. Dar es salaam.
Sitaweza weka namba kwa sababu zisizozuilika kama unahitaji ni pm.