friji inauzwa

amina paggy

Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
37
Reaction score
1
friji inauzwa kwa bei ya laki 5 mpaka laki 4 na nusu,ni ya biashara kama kuweka juice na soda n.k.,inapatikana maeneo ya tabata bima.
 
Weka picha kama huwezi kutoa specifications za hiyo friji.
 
friji inauzwa kwa bei ya laki 5 mpaka laki 4 na nusu,ni ya biashara kama kuweka juice na soda n.k.,inapatikana maeneo ya tabata bima.

Hivi wewe ungelikuwa mununuzi, je ungevutiwa na tangazo la namna hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…