Kifaa tajwa hapo juu kiko sokoni kwa bei ya laki 2 tu. Kinapatikana Dodoma. Ni fridge nzima na haina dosari yoyote, sababu ya kuuza ni dharura tu ya pesa.
Mkuu
Sasa Umeanza Kuharibu Biashara Yako
Thread Nyingi Za Nini Wakati Tayari Kuna Thread Nzuri Sana Picture Umeweka Nadhani Utaanza Kupokea Simu Za Biashara

Mkuu ulichosema ni kweli lkn changamoto ilikuwa ktk kuapload picha ndio ktk kujaribu ndio nikajikuta nimefungua Uzi mwingine..basi nikaona si vby nikipeleka picha ktk Uzi wa awali.