Nimecheka sana.Dah!! Bei rahisi sana ingekuwa kipindi cha JK lisingemaliza dakika.
Ila ume time muda mzuri sana.
Mwenyewe nimeitamani ila nipo Kigoma. Kuileta huku balaaView attachment 441071 View attachment 441071 -Hisense
-165Lts
-halitoi kelele
-lina funguo
-lina miguu yake
-lina adjastable thermostat
-fridge guard
-mkono wake haujafungwa
Limetumika miezi 8 tu.
Halina tatizo lolote, almost new.
Bei=270, 000/=
Sababu-mmiliki alisafiri hivyo,ameomba liuzwe kwani halina kazi.
Contact-0712668190
Mbezi ya kimara-malamba
Picha hazipo clear, kioo cha lense ya camera kilipasuka.
View attachment 441071
View attachment 441072
View attachment 441073
Express treni fastaMwenyewe nimeitamani ila nipo Kigoma. Kuileta huku balaa
Hapana best, hiyo machine bado sana.2k kamili ipo upotayari?
Aisee kumbe nawe unawaelewa hisense, safiπhisence samsung wapo vizuri sana ningekuwa naitaji ningechukua ngoja nizame kwa sponsor
5mn tu, linaanza kufukaπUwezo wake wa kugandisha vipi?
Yani kwa price hiyo lkn wabongo bado wanalia wakushushe aiseeπNimecheka sana.
Hali ngumu mkuuYani kwa price hiyo lkn wabongo bado wanalia wakushushe aiseeπ
Sio lisingemaliza dakika peke yake, pia lingeuzwa kwa 500,000 na lingeenda..Dah!! Bei rahisi sana ingekuwa kipindi cha JK lisingemaliza dakika.
Ila ume time muda mzuri sana.
HahahaaahSio lisingemaliza dakika peke yake, pia lingeuzwa kwa 500,000 na lingeenda..
wana hadi simu ila bongo sidhani kama zipoAisee kumbe nawe unawaelewa hisense, safiπ