Bilionea kid
JF-Expert Member
- Oct 19, 2018
- 581
- 520
Tatizo ni ID yako ndio maana watu wanaona kama miyeyusho [emoji23][emoji23][emoji23]Wakuu mmenisusia
Wakuu mmenisusia
Tatizo ni ID yako ndio maana watu wanaona kama miyeyusho [emoji23][emoji23][emoji23]
Watu vyuma vimekaza
Wakuu mmenisusia
Tatizo unapenda utani
Bidhaa iko mtaani lakini unauza kama iko kiwandani
Bilionea kutafuta mteja wa friji mwaka mzimaMkuu ID yangu inashida gan??
Bilionea kutafuta mteja wa friji mwaka mzima
Hilo friji ni la mtumba na tena umelitumia na tena unaanza na bei hiyo! Mtu kabla hajakupigia anaangalia kwanza userious wako. Kila la kheriNdio maana nikaweka namba za simu mazungumzo yapo mkuu
Hilo friji ni la mtumba na tena umelitumia na tena unaanza na bei hiyo! Mtu kabla hajakupigia anaangalia kwanza userious wako. Kila la kheri
Chukua 300k mkuuMkuu hili friji lilinunuliwa laki nane
Laki nane hadi laki tano padogo hapo??
We unatoa ngap?
Chukua 300k mkuu
550k umeenda mbali, dukani napata mpya kabisaDuuh! Mkuu unaua embu panda panda