Fremu zinauzwa

GHAMKA

Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
5
Reaction score
0
kuna frem tatu zinauzwa zipo tegeta kibaoni, frem izo ni kubwa zipo sehemu yenye mzunguko wa biashara bei kwa kila fremu ni ml 8 kwa maelezo zaidi waweza kunipata kwa simu namba 0714 182 640
 
Ukubwa wa fremu? Jee zipo kwenye umbali wa meter ngapi kutoka barabarani.
 
kuna frem tatu zinauzwa zipo tegeta kibaoni, frem izo ni kubwa zipo sehemu yenye mzunguko wa biashara bei kwa kila fremu ni ml 8 kwa maelezo zaidi waweza kunipata kwa simu namba 0714 182 640

Unanunua inakuwa yako jumla?
 
.... $@^₩€%÷^£*¥)?;:''xvkl¡♡★■□°《★★★■■¿★♡★♥♥♥♥ 》《¤》¿¡《◆◆•■]|
@@@$##€€£%%_=÷×+÷(())))
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…