Fremu ya biashara inapangishwa

Mbwambo

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
625
Reaction score
95
fremu yabiashara inapangishwa ipo barabara ya changombe jirani na njia panda ya kwendatcc club. Jirani na maduka mawili.

inatazamabarabara kubwa ya changombe, temeke.
ina floortiles nzuri na mlango wa aluminium na ni kati ya fremu nne ambao zina watutayari. Kodi ni 130,000/= kwa mwezi
wasiliana na0713-689665

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…