Frem za biashara Mwenge zipo

lendila

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2012
Posts
5,805
Reaction score
4,374
Kwa anayeta frem za biashara mwenge zipo za kumwaga,ukitaka frem piga no hii 0764023130
 
Kwa anayeta frem za biashara mwenge zipo za kumwaga,ukitaka frem piga no hii 0764023130

Wakati mwenge ipo hot kipindi kile bado stand haijahamishwa mlikuwa mnajiona miungu watu, cwezi kuwasahau 2011 mlinizungisha kupata fremu hadi nka "give up" stendi imehamia makumbusho na mwenge pamebaki pa kigoroko ndo mnakuja hadi huku.
 
Ilikuwa ishu sana kupata fremu Mwenge...

Nakumbuka mwaka 2009 nilipata fremu, makubaliano yalikuwa kulipia kesho yake...kesho imefika jamaa kabadilika ghafla kapanda bei...

Mkuu hiyo miaka 2009 palikuwa na jamaa mmoja ndo alikuwa km "controller" jina lilianzia na "A" jamaa alinizungusha kupata fremu pale mwishowe nkakata tamaa hadi nkala "capital". Ndo maana nowdays kila nkipita from tangimbovu -kkoo nakuta sehemu ipo tupu watu hamna huwa naishia kusikitika tu.
 
Biashara ni ujasiri ndugu zangu,mbona kwa sasa ndio kuna wanunuzi wazuri ambao wanakuja na magari yao ambao ndio wenye mzigo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…