Nimependa sana Akiri umevyopost.
Kwanza maelezo umejitahidi kuweka sawa.
Umechonifurahisha sana umeweka wazi kabisaa kwamba wewe ni Dalali.
Maana wapo wenzenu wanawaharibia kazi,unakuta mtu anasema Frame yake,ukienda unashangaa unakuta msururu wa watu teleee.Kumbe mwenyewe ni dalali.
Kwa maeneo yale bei sio mbaya sana kama itakuwa njiani na kubwa.Na kama itakuwa imejengwa vizuri.Ningekuwa sawa ningekutafuta.Ila next time nitakutafuta,maana nimeishajua kwamba hii ni miongoni mwa dili zako