Frem inapangishwa Mtwara

lipwid

Senior Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
108
Reaction score
30
Frem yenye Umeme inapangishwa..iko Kiyangu Soko sela. Bei 150'000 Kwa mwezi
 
Weka picha tuthaminishe mzigo.Sisi wajasiriamali wadogowadogo popote pale tunaweka kambi.

Ipo karibu na eneo gani lenye mkusanyiko mkubwa wa watu?
 
Mnyamwezi Wa urambo..Frem hii iko nnje ya Soko..no zile za kuzunguka Soko kama za uwanja Wa Moira nadhani umenipata
 
Unaweza kuwasiliana na 0783 171323 jamaa atakupeleka uzione..picha zinasumbua kuzipandisha..nikifanikiwa nitaweka
 
kwa uwenyeji na uzoefu unadhani eneo hilo linafaa kwa biashara gani? mf. spear za magari, bajaj, bodaboda, duka, steshenari, mama ntilie, saloon kike au kiume. niko serious mjasiliamali! tafadhari nijuze nije kuwekeza hapo mtwara kuchele!
 
Hapo ilipo Frem..ni nje ya soko salsa ndio upige hesabu..kila Siku with wanaenda kununua bidhaa.
 
Mpap kama uko Mtwara ni vyema ukaiona...ili uitathimini.
 
Nashukuru JF jamaa wamekuja kuiona nafikiri mwisho wa mwezi mambo yanaweza yakasoma
 
Jamaa hawajatiza ahadi yao...frem bado iko sokoni
 
Baishara imeshafanyika..asanteni sana tuliowasiliana kwa simu mpaka kukamilika kwa biashara hii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…