Kuclear mizigo bandarini, viwanja vya ndege (Airports) na mipakani (borders).S.A Link Traders Ltd ni kampuni iliyopata leseni na TRA ya kutoa mizigo bandarini, viwanjani na mipakani (borders), yaani freight clearing and forwarding. Karibuni mtuletee kazi za kugomboa mizigo, tunazifanya kwa ufanisi, uaminifu mkubwa na kwa bei nzuri. Pia tunatoa kamisheni ya mpaka 40% kwa yeyote atakaye tuletea/kutuunganisha na mteja.
Tunapatikana; 2nd Floor-Elite City building,
Samora Avenue/Morogoro Road,
Dar es Salaam- Tanzania.
Wasiliana nasi; email: salink801@gmail.com
simu: +255718 866 651/+255764 846 845.
Pia tutembelee: salink.co.tz
KARIBUNI SANA.
Mizigo kiwango gani njoo hukuS.A Link Traders Ltd ni kampuni iliyopata leseni na TRA ya kutoa mizigo bandarini, viwanjani vya ndege na mipakani (borders), yaani freight clearing and forwarding. Karibuni mtuletee kazi za kugomboa mizigo, tunazifanya kwa ufanisi, uaminifu mkubwa na kwa bei nzuri. Pia tunatoa kamisheni ya mpaka 40% kwa yeyote atakaye tuletea/kutuunganisha na mteja.
Tunapatikana; 2nd Floor-Elite City building,
Samora Avenue/Morogoro Road,
Dar es Salaam- Tanzania.
Wasiliana nasi; email: info@salink.co.tz
call: +255718 866 651/+255764 846 845.
whatsup: +255688 866 882
Pia tutembelee: salink.co.tz
KARIBUNI SANA.
Inategemea mkuu, TRA huangalia thamani ya bidhaa husika na kiasi (quantity). fridge mbili na tv kama thamani yake itazid USD1,000 mzigo huo utatozwa kodi vinginevyo viwe ni kwa ajili ya matumizi binafsi umekuja navyo kutoka nje ya nchi, vivyo ivyo sukuna 3 hereni set 1 kama vitazidi dollar 1,000.Eleza mizigo kiwango kipi
Maana kuna watu wana fridge mbili na.tv
Utatoa au mwanamama ameagiza kwa ndege sukuna tatu na hereni set 1
Toyota Volt mpaka inafika Dar es Salaam ni Dollar 2,500 mpaka Dollar 3,800 (inategemea mwaka na condition ya gari husika. mfano T/Voltz ya 2002 ni USD 2,550 mpaka inafika Dar as per this link: BE FORWARD : 2002 TOYOTA VoltzNaomba kujua gharama zenu za kuniagizia gari yangu toyota voltz toka Japan.
OkTutakutoza laki moja (100,000) mkuu mzigo wa kilo 100.
Naomba msaada wako nimeagiza gari kutoka japani likishafika bandarin nafanyaje sababu sijui chochote
Mkuu karibu utupe kazi ya ku-clear gari yako tunafanya kazi kwa ufanisi, haraka na kwa bei nzuri, gharama zetu (agency fee) tutakutoza shillingi laki mbili tu (200,000).Naomba msaada wako nimeagiza gari kutoka japani likishafika bandarin nafanyaje sababu sijui chochote