kidadari JF-Expert Member Joined Jul 26, 2012 Posts 8,646 Reaction score 9,623 Apr 18, 2018 #21 Frank Wanjiru said: Sio katili ni kasoro,halafu uache wivu. Click to expand... wa kikeeee!! eeeh
charty JF-Expert Member Joined Oct 28, 2013 Posts 7,459 Reaction score 6,008 Apr 18, 2018 #22 Pumzika salama Barbara Bush..
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,554 Reaction score 9,247 Apr 18, 2018 #23 Jambazi said: Tumbo lake lilizaa raia katili Iraq haitaka isahau tumbo lako lililo leta kiumbe wa ajabu duniani R.I.P Click to expand... Mume wake ni katili,, mtoto wake pia ni katili sana...kule anakofikia ni hatari zaidi ya huku mkuu....maana kuna maswali kibao kule atakutananayo,,, namhurumia sana huyu bibi...
Jambazi said: Tumbo lake lilizaa raia katili Iraq haitaka isahau tumbo lako lililo leta kiumbe wa ajabu duniani R.I.P Click to expand... Mume wake ni katili,, mtoto wake pia ni katili sana...kule anakofikia ni hatari zaidi ya huku mkuu....maana kuna maswali kibao kule atakutananayo,,, namhurumia sana huyu bibi...
za chembe JF-Expert Member Joined Jul 22, 2017 Posts 1,064 Reaction score 4,094 Apr 18, 2018 #24 Wabaya hufa baada ya miaka mingi?
chuma cha mjerumani JF-Expert Member Joined Dec 4, 2013 Posts 12,352 Reaction score 25,874 Apr 18, 2018 #25 kidadari said: Aliolewa na mwanaume katili akazaa mtoto Katili Click to expand... Wewe mbona babaako katili lakini watu hawaongei?? R.I.P
kidadari said: Aliolewa na mwanaume katili akazaa mtoto Katili Click to expand... Wewe mbona babaako katili lakini watu hawaongei?? R.I.P
Boniphace Kichonge JF-Expert Member Joined Jul 31, 2017 Posts 1,605 Reaction score 1,958 Apr 19, 2018 #26 RIP the blessed Mother