murutongore
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 2,051
- 639
Hakuna habari ya Rwanda inaweza ikaandikwa bila neno genocide hata iwe nzuri kiasi gani,shame on you
Duh! hongera Warwanda kwa jitihada zenu za kubadilisha picha ya Afrika. I hope our Nairobi governor Kidero can learn a thing or two from you people.
Mama, waambie wawasaidie na ile kitu ya alshabab. ahahahha. Nasikia jana mumechapana ngumi kwa sababu ya mamluki wa alshabab bungeni.
Security yenu ni poor sana.
Hakuna habari ya Rwanda inaweza ikaandikwa bila neno genocide hata iwe nzuri kiasi gani,shame on you
JustDoItNow mke wa Mainterharamwe bado unanifata fata, unachezea ban nyingine.
Wivu wenu huu ndo unawaponza na kubaki nyuma siku zote, sasa mbona lazima mchafue kila nzuri ya Warwanda. Genocide is undeniable truth that will never be phased out. Just like the way holocaust always comes to mind whenever Germany is mentioned.
Ahahahhha, Sasa kwani alshabab wana nini? au na wewe ni mmoja wapo? kwasababu unapenda sana pesa. May be wanakupa pesa uue watu wako mwenyewe? what is ban nyingine mean?
Au una maralia mama?
Wewe endelea huko kuolewa na hao Mainteharamwe, iko siku watakuacha pabaya.
Hakuna habari ya Rwanda inaweza ikaandikwa bila neno genocide hata iwe nzuri kiasi gani,shame on you
JustDoItNow mke wa Mainterharamwe bado unanifata fata, unachezea ban nyingine.
Go Kigali. go Kagame good job. Huyu mshenzi wetu sijui ataondoka lini. Hata kesho sawa tu.
Kama unaona Kigali kuzuri si uhamie tu huko haraka.Kule wanaruhusu uraia wa nchi mbili.Au unasubiri mpaka utimuliwe kwa viboko kuwa wewe ni mhamiaji haramu ndio uende kigali?
Nyie mnabaki kusema "Tanzania bila ccm nchi itayumba"
Watz wana non sense kuanzia kiongozi wake mpaka watu wake.
Hakuna anayeweza kunitimua hata huyu bwana wako kikwete.
Watu kama nyie ndio mnatufedhehesha na kutufanya tudhatauliwe na ulimwengu.
Kusifia nchi ya mwenzako sio mbaya na japo kukujulisha tu ni waafrica wenzetu wao wanapiga hatua.
Nyie mnabaki kusema "Tanzania bila ccm nchi itayumba"
Watz wana non sense kuanzia kiongozi wake mpaka watu wake.
Sikiliza wewe mhamiaji haramu Sisi afadhali tunaongelea taasisi (institution) kuwa Tanzania bila CCM itayumba huwezi linganisha na nchi isiyokuwa na taasisi imara ambayo inaongelea kutwa mtu binafsi mtu kuwa Eti RWANDA BILA KAGAME ITAYUMBA!!!!
Rwanda is more than an individual!!!.