Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,933
- 1,294
hii kitu ngumu sana,unamkumbuka pope aliyekalia kiti siku 33???
Kwani ni nini? lakini hata ya mazishi la lugambwa nayo iko hapa.Kwa hiyo,na hii ni siasa?
Kwani aliyemuhukumu ni pope au ni sheria za Italy/Vatican?
Inasemekana binti wa
Paolo Gabriele amepotea katika mazingira ya kutatanisha baada ya
kuonekana kwamba amepata fununu ya yanayoendelea Vatican baada ya kusoma
baadhi ya hizo documents.Na inahofiwa kwamba labda ameuawa au kuwekwa
under house arrest ili kuhakikisha hakuna damage zaidi baada ya leakage
ya hizo documents. Scandals za Rushwa, Ngono na kukosa uadilifu kwa Papa
vimegusiwa katika hizo documents ''alizojibinafsishia'' Paolo.
google 666and roman catholic au 666 and vatican
Utapata baadhi ya vitu ambavyo vimekuwa vikifichwa kwa muda wa miaka mingi.