Form 6 wote someni hapa

Kuna mdogo wangu anataka kusoma marketing ,anauliza hakuna mahesabu (calculation)huko?
 
Asante sana kwa ushauri wako,pia ninaomba msaada kozi ya economics anaweza kufanya kazi katika nyanja zipi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…