Ben samwel
Member
- Jun 24, 2024
- 15
- 46
Sasa blaza UTAONGELEAJE forex bila kuongelea CRYPTO kama Bitcoin na etherium ambazo ni Technolojia mpya za fedha, kama kweli unatambua kua forex ni soko la fedha UTAONGELEAJE forex bila kutaja stocks ambazo hisa ni kama mitaji ya makampuni tayar umeshagusa pesa UTAONGELEAJE forex bila kutaja DHAHABU(XAU) na SILVER ambavyo ni moja kati ya mifumo ya fedha uliyotumika enzi na enzi, UTAONGELEAJE forex bila kutaja MAFUTA kama USOIL na UKOIL ambayo kwa kias kikubwa yanachangia bei za vitu vingi kwenye masoko....kama wewe ndo unajua forex ni currencies peke yake BAKI NA USHAMBA WAKO!usimlaumu mtu kwann mpaka leo forex haikutoi na akili ndo izi, kwa lugha nyepesi hujui anything about the forex market, yaaani nyie ni wale kusema forex is exchange of currencies alafu ndan mnaanza kuelezea stocks, crypto π π π
Hebu na wew soma iyo screenshot ya CHATGPT...maana naona betting imekuharibu akili, soma na conclusion vizuri!
π π π i can see umekunywa maji ya broka, acha nikwambie tu ukwel hakuna na haiwezi tokea mtu akaishi kwa forex trading, yaani ata upewe miaka 20 hakuna anaeweza kuishi kwa forex trading yaaani unapoteza mda tu!Sasa blaza UTAONGELEAJE forex bila kuongelea CRYPTO kama Bitcoin na etherium ambazo ni Technolojia mpya za fedha, kama kweli unatambua kua forex ni soko la fedha UTAONGELEAJE forex bila kutaja stocks ambazo hisa ni kama mitaji ya makampuni tayar umeshagusa pesa UTAONGELEAJE forex bila kutaja DHAHABU(XAU) na SILVER ambavyo ni moja kati ya mifumo ya fedha uliyotumika enzi na enzi, UTAONGELEAJE forex bila kutaja MAFUTA kama USOIL na UKOIL ambayo kwa kias kikubwa yanachangia bei za vitu vingi kwenye masoko....kama wewe ndo unajua forex ni currencies peke yake BAKI NA USHAMBA WAKO!
Alafu swala la kutoboa ni swala la MUDA tu, kwasababu wew sio mgawa Riziki, wew mwenyew ni MSAKATONGE kama hao wanaojitafuta kwenye forex. Kama wao wanaamini RIZKI yao ipo kwenye forex wacha wafanye na kama ww ulishindwa, usije kwenye MAJUKWAA kama hili la JM kuongelea kitu ambacho huna research ya kutosha, huna hoja zenye mashiko umetrade sjui miezi sita ukachoma ACCOUNT unakuja hapa kutuambia forex ni sawa na aviator...JIELIMISHE KWANZA NDO UJE UTUELIMISHE sasa ivi ni kama una bwabwaja tu
ngoja ntumie huu mda kukuelewesha kwann mnachofanya ni betting:Hebu na wew soma iyo screenshot ya CHATGPT...maana naona betting imekuharibu akili, soma na conclusion vizuri!
Benki ya tanzania ikifanya trade mfano if we make a trade USDTSH tunafanya kwa cash na hua ni kwa dhumuni maalum mara nyingi ni yawezekana kuna manunuzi mengi ya nje kwahio converting from TSH TO USD is for diluting na sio kupata faida however this will make a massive change on the exchange rate, sasa basi kama BOT imefanya trade kama hii, wewe ambae unasoma charts ingekua kuna broka anatoa hii pair we unadhan ungesoma charts na kuguess tunachofanya next? JIBU NI HAPANA! maaan yake we ni mjinga, nmekupa mfano mrahisi ila ndo central banks nyingi process ni izi izi, sometimes sio lazima iwe central bank, there are some big companies who can do the same!
chukulia huu mfano mm nna kampuni yangu ya magari nanunua magari nje nakuja kuuza bongo, labda tuseme stock imeisha nataka kufuata mzito mpya, mtaji wangu ni tuseme bil 50 kufuata magari ila nna Tsh, nkienda pale BOT nkawa bil 50 alafu wanatakiwa kuconvert kwenda dola basi kutakua na spike kubwa sana ya price, yaaani your expecting 0.5% drop on a single candle, je wewe ulie kwenye charts! unaweza kusoma charts zako na kupredict izi purchases? jibu ni hapana maaana yake we ni mjinga tena
Hakuna kijana anayepata fedha kwa forex...hakuna lolote, mbwembwe tu
Uliowataja wote ni scammers.Mtoa post ametoa mawazo yake na uelewa wake kuhusu forex, na wala si mpingi kwa alichokisema kwasababu watu wengi duniani wana mitazamo tofauti tofauti kuhusu forex, kwa upande wangu forex ni soko kama masoko mengine, na wafanyabiashara kwenye masoko haya wanatengeneza faida na hasara kama ilivo kwenye biashara nyingine kulingana na expirience zao, ujuzi wao na mitazamo yao kulingana na bei ya bidhaa zilizo kwenye soko la forex.
Sidhani kama forex ingekua kama aviator tungekua na Profitable traders kama, Amrisally
Neobillions, ibrahiminano, kojoforex, Angela fibbonacci, kira forex, jeffrey benson, dappo wills, habby forex, ml forexafrica, jackpot pmg, trevor jones, na wengine wengi ambao ni matajir wakubwa kwasababu ya forex.
SIjawahI kumuona mtu wa aviator anaetengeneza pesa nyingi kama hao forex traders, labda mtoa post ututajie traders wa aviator wenye umaarufu.
Unawajua? Na umewafatilia kwa mda gan? Usiandike ka sentensi kamoja bila vithibitisho, THIBITISHA KAMA KUNA MALALAMIKO YA WATU WALIO KUA SCAMMED NA HAO WATU au HIO SCAMMING WANAIFANYAJE FANYAJE? alafu achana na hao wa nje ya nchi tu deal na wafanya forex wa TANZANIA kama AMRISALY, MLFOREX AFRICA, IBRAHIM INANO, NEOBILLIONS, na wengine wengi hata unaowajua ww? THIBITISHA KWAMBA NI SCAMMERS!Uliowataja wote ni scammers.
Unawajua? Na umewafatilia kwa mda gan? Usiandike ka sentensi kamoja bila vithibitisho, THIBITISHA KAMA KUNA MALALAMIKO YA WATU WALIO KUA SCAMMED NA HAO WATU au HIO SCAMMING WANAIFANYAJE FANYAJE? alafu achana na hao wa nje ya nchi tu deal na wafanya forex wa TANZANIA kama AMRISALY, MLFOREX AFRICA, IBRAHIM INANO, NEOBILLIONS, na wengine wengi hata unaowajua ww? THIBITISHA KWAMBA NI SCAMMERS!
Mwisho kama kuscam maelfu ya watu wazima mtandaoni wenye akili zao timamu ni kazi rahisi ivo mtandaoni. Tupe iyo mbinu tupate hela na sisi kwa ku SCAM watu
ππHapana bro chunguza vizuri wewe ndo umepoteza mda mwingi sana kutengeneza post ya KISHAMBA tena yenye HEADLINE ya kishamba kwa karne hii ya 21, FOREX NI AVIATOR GAME KWA ASILIMIA 100% alaf huna hata HOJA za msingi, mda ulio fikiria kuandika hii MADA bora ata ungelala tu, atleast ungepumzisha akili!unapoteza mda kijana, hakuna mtu anaweza kutengeneza pesa kwa forex ata 1% kila mwezi haiwezekan! unless ufanye biashara ya sarafu kama byuro de change ila kwa mt4 utaelezea sana na utachoka
Bro unaweza ukafungua akaunti even demo nisipoipata iyo 1% monthly tubeti? Ama tubeti nini labda useme wewe ,Kama vipi fungua live account either cfd brokerage or real live market of either stocks,futures and options.mdogo wangu forex sio ujuzi msitake ionekane kma kitu serious, forex inatrediwa central banks pekee nje ya apo hakuna anaeweza kufanya trading ya currency kwa niaba ya nchi husika, unaweza kufanya biashara ya sarafu kama byuro de change but you cant trade forex hio haiwezekan na hakuna soko hilo, yaaani kwa lugha nyepesi unachofanya sio trading
najua unapenda watu waone unafanya kitu serious but uhalisia ndo huo, kinachokusumbua wewe ni ulipata elimu magumash
kingine hakuna mtu anaweza kutengeneza pesa kila mwezi kwa forex na haiwezi tokea, kwa lugha nyepesi hakuna mtu anaishi kwa forex unless unafundisha ama uko na broka unamtafutia wateja ama unauza bot
the best u can do ni kama unafanya HFT apart from that unapoteza mda
Cfd trading ni betting na sio buying or owning real assets.yaani unabeti kwa mahesabi yako kuwa hii itapanda ama itashuka.CHATGPT ni muunganiko wa articles zilizopo kwenye website mbal mbal, and its mostly wrong, however i can confidently tell you that huna uelewa wowote wa forex na hujui kinachoendelea duniani, and i can confidently tell you that no one is making money kila mwezivia forex, hayupo na haiwezi tokea, you are the broka's biznez
ππHapana bro chunguza vizuri wewe ndo umepoteza mda mwingi sana kutengeneza post ya KISHAMBA tena yenye HEADLINE ya kishamba kwa karne hii ya 21, FOREX NI AVIATOR GAME KWA ASILIMIA 100% alaf huna hata HOJA za msingi, mda ulio fikiria kuandika hii MADA bora ata ungelala tu, atleast ungepumzisha akili!
C
Cfd trading ni betting na sio buying or owning real assets.yaani unabeti kwa mahesabi yako kuwa hii itapanda ama itashuka.
Na unajua why hakuna anayemeki mane?
Je unadhani kuwa ukishindwa kumeki hela katika cfd labda kwenye real live market upate profit kwa dividend.
Ila mie siiti forex huwa naita trading Mana humo ndani Kuna makorokoro mengi ama aina nyingi za trading
B
Bro unaweza ukafungua akaunti even demo nisipoipata iyo 1% monthly tubeti? Ama tubeti nini labda useme wewe ,Kama vipi fungua live account either cfd brokerage or real live market of either stocks,futures and options.
Labda Kuna namna hii kitu imekufanya.
Namie nilikuwa Kama wewe.
Sasa nikuulize kwani unaponunua live gold yaani Ile unamiliki gold ama hisa za apple na huyu anayebeti price kwani profit so wote mnapata sawa ama hasara Mana na Yule Naye aliyeko live real market anategemea Bei ipande ama ishuke ,Mana unaweza ukakopa hisa katika soko halisi na ukaziuza sio lazima uzimiliki.
Kuna prop firms zipo USA like T3, citadel, smb Capital,shenfeld ambazo zinachukua oda zako to various exchange Bodies like amex, CBoT, nasdaq na hii utasema kuwa sio biashara halisi Bali ni kubeti.
Sasa kwa taarifa yako Maisha yote na Kila kitu ni kubeti Kama unabisha niambie ni nini ambacho sio betting?
We can debate hapa Mana naona Kama huelewi ama unaona watu wote ni wajinga Ila wewe tu umekaa bot basi unajua mno.
Hisa za crdb saivi nauza tu mtandaoni na kununua hakuna haja kwenda kwa stock brokers physically ndio ninunue.
Sasa trading ni both selling and buying on regular basis capitalizing on price fluctuations Bali investing ni long term plan holding of shares /stocks of a company with hoping kuwa itapanda kithamani uuze ,upate gawio. Mwaka 2019 tu hapa Dola ilikuwa 2280 saivi Iko 2650 so Kama mtu angenunua Dola kadhaa akazihifadhi Halafu saivi akaziuza ili apewe shilingi zake back so angepata zile zile hela?
Mtu anayenunua Mchele anatunza ili upande auze akamate hela zake so sio trading hiyo ama unaona anacheza cheza.
Your mindset is so fixed and ego is driving you highly.
Niambie proprietary trading firms,stocks brokers zilizoko USA like 624,000 kwa USA nzima zinafanyeje mkuu hizo.
Mie naomba tubeti fungua akaunti weka investor password hapa Kila mtu acheki Kama iyo 1% haitopatikana. Kwanza mie nakutafutia Tano kwa miezi mitatu mfululizo.
Trading ni ngumu na wengi mno wasioiamini Mana walishindwa kumeki hela.
I can say that both trading skills and capital needed to make money for living isn't an easy shit to acquire like buttocks that are owned by anyone.
Fungua akaunti Kama vipi fungua akaunti kwa interactive brokers Mana huyu ni broker mkubwa like Ameritrade, e Schwab, fidelity ambao unaweza fungua akaunti ya proprietary trading fund managers.
Unaweza ukaseti ama unamwambia aka limit lowest or maximum drawdown ukampatia mtu ama watu wakapiga kazi.