Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,861
- 2,099
Siijui vizuri Forex lakini mzee umetupiga fixHabari Leo tunazungumzia Forex na Aviator Game na Siri zake zenye kufanana zilizopo nyuma ya pazia.
Forex kama Aviator imebuniwa makusudi kumpa mmiliki faida.
Kivipi inampa faida..
Forex Server huwa inatizama sokoni katika muda husika ni watu wangapi walioBUY au SELL. kisha Statics za Forex Automatic hukimbilia kwenye upande ambao una faida kwa mmiliki. Mfano. Ikiwa USD 50000 imekuwa Placed kwenye SELL na Na USD 20000 Imekuwa placed kwenye BUY Basi System itawapa walioSELL.
WalioSELL bila ya wao kujua watajua, Forex ni real maana imewapa pesa bila kujua kuna watu wengine mahali fulani wanalia machozi ya damu.
Hivyo kila unapoona statics ya forex inapanda au kushuka ujue kuna inamimina pesa kwa Mmiliki.
Nadhani nimeeleweka.. Bye.!
kama hujui unawezaje kusema fixSiijui vizuri Forex lakini mzee umetupiga fix
Wapi nimesema hivyokwani ye ndo alitengeneza hiyo forex
na wewe wapi mweka mada kamtaja huyo jamaa..??Wapi nimesema hivyo
usilinganishe forex na utumbo.Habari Leo tunazungumzia Forex na Aviator Game na Siri zake zenye kufanana zilizopo nyuma ya pazia.
Forex kama Aviator imebuniwa makusudi kumpa mmiliki faida.
Kivipi inampa faida..
Forex Server huwa inatizama sokoni katika muda husika ni watu wangapi walioBUY au SELL. kisha Statics za Forex Automatic hukimbilia kwenye upande ambao una faida kwa mmiliki. Mfano. Ikiwa USD 50000 imekuwa Placed kwenye SELL na Na USD 20000 Imekuwa placed kwenye BUY Basi System itawapa walioSELL.
WalioSELL bila ya wao kujua watajua, Forex ni real maana imewapa pesa bila kujua kuna watu wengine mahali fulani wanalia machozi ya damu.
Hivyo kila unapoona statics ya forex inapanda au kushuka ujue kuna inamimina pesa kwa Mmiliki.
Nadhani nimeeleweka.. Bye.!
Mzee sizungumzii Forex kama The foreign exchange market Hapa, Ninachokizungumzia unakielewa ila unakaza Fuvu.usilinganishe forex na utumbo.
hivi unajua forex ndio inakufanya leo kujua pesa za kigeni zinakwendaje na mambo mengine.
kama ufahamu ni bora kujamba kisha ukatulia ndani
Nina miaka 12 kwenye forex ndio maana nimekwambia usilinganishe forex na utumbo kama ufahamu neno forex tu .we tulia na betting zakoMzee sizungumzii Forex kama The foreign exchange market Hapa, Ninachokizungumzia unakielewa ila unakaza Fuvu.
Forex ya banks .....usilinganishe forex na utumbo.
hivi unajua forex ndio inakufanya leo kujua pesa za kigeni zinakwendaje na mambo mengine.
kama ufahamu ni bora kujamba kisha ukatulia ndani
Wengi tumiejua kupitia yeye humu. Mwamba mmoja janja janjakwani ye ndo alitengeneza hiyo forex
Sawa Utajiri Mwema mzee.Nina miaka 12 kwenye forex ndio maana nimekwambia usilinganishe forex na utumbo kama ufahamu neno forex tu .we tulia na betting zako
yule mura amewapiga wengi sana kimaandazi na kimkakati ππWengi tumiejua kupitia yeye humu. Mwamba mmoja janja janja
Huu ushuzi baridi wa kujadili forex mtaacha lini. Akili ndogo kama za kuku zinajadili fx?Habari Leo tunazungumzia Forex na Aviator Game na Siri zake zenye kufanana zilizopo nyuma ya pazia.
Forex kama Aviator imebuniwa makusudi kumpa mmiliki faida.
Kivipi inampa faida..
Forex Server huwa inatizama sokoni katika muda husika ni watu wangapi walioBUY au SELL. kisha Statics za Forex Automatic hukimbilia kwenye upande ambao una faida kwa mmiliki. Mfano. Ikiwa USD 50000 imekuwa Placed kwenye SELL na Na USD 20000 Imekuwa placed kwenye BUY Basi System itawapa walioSELL.
WalioSELL bila ya wao kujua watajua, Forex ni real maana imewapa pesa bila kujua kuna watu wengine mahali fulani wanalia machozi ya damu.
Hivyo kila unapoona statics ya forex inapanda au kushuka ujue kuna inamimina pesa kwa Mmiliki.
Nadhani nimeeleweka.. Bye.!
mjuba nikipita kwenye Account yako naona wazi ni ww mgonga ulimbo mwenzetu tu.Huu ushuzi baridi wa kujadili forex mtaacha lini. Akili ndogo kama za kuku zinajadili fx?
Mjini akili.yul
yule mura amewapiga wengi sana kimaandazi na kimkakati ππ