Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
are you single?
na nani? mi bonge la mchawi
Eeeeeh mie ni single.....
asante me too
Asante me three
sikujua aseeh
utafiti tatizo kubwa
Na mie mume wangu ndio tatizo kubwaa
Mbona haueleweki Mara single Mara una mume unajikosha rizki ujue
miaka 100 huwezinitakuloga ili ujue
miaka 100 huwezi
nakuja leo usiku ukilala angalia kwenye kona ya chumba chako pale karibu na kabati la nguo zako nitapita pale
ukija nitakufanya kitoweo cha usiku, you know what I mean?
Nakaribia kuja