For open minded only

Sitashangaa huo u-submissive Wako ukawa umeshakufanya kuwa ka-punga. You r in Tanzania live like a Tanzanian
 
Sitashangaa huo u-submissive Wako ukawa umeshakufanya kuwa ka-punga. You r in Tanzania live like a Tanzanian

usilolijua ni kama usiku wa giza
 

Chagua hashim rungwe RAIS wa nchi HII, kila KITU kitaenda sawa.

CHAUMA Wooyeeeeeeeeh!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na wewe....

Hayo sio maneno ya mtu aliekulia Africa na kukelewa huku....

Labda awe amekulia huku ng'ambo na kulelewa huko kisha akaja huku....

Haya mambo ya wazungu bana mbongo na sijui kukiss high heels wapi na wapi bana?
watu wanaangalia movie,series na kusoma vitabu wanacopy culture ambayo ni pamoja na hayo maneno kwa hiyo inawezekana haja copy wala
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…