Endapo mtakuwa na competent staff, then am very sure mtafanya vizuri sana....i can see ur portal is completely user friendly!! Sio mbaya mkitupa nafasi hata akina siye ambao baada ya kuona mizinguo kwenye ajira rasmi, tumeamua kujikita kwenye Work At Home opportunities! Therefore, i'd advice u to add Work At Home page....!! Am certain kwamba hiyo itaongeza traffic to ur website.