For fifa 14 gamerz.

Zeddicus Zu'l Zorander

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
804
Reaction score
956
Wakuu nimekuwa nikicheza fifa kwa miaka minne sasa, lakini sijawahi pata shida kama hii fifa 14, Nimejitutumua mpaka sasa hivi nacheza World Class against computer lakini hawa jamaa ni wagumu sijapata ona.
1. Hawakabiki, yaani ukifanya sliding tackle unapigwa chenga kilaini, ukisema ufanye standing tackle unaachwa kama umesimama, ukisema ucontain ndio wanakukimbiza mno, wanapiga through pass ngumu kukaba n.k kwa aliyeweza kuwazuia hawa jamaa ebu anipe maujanja labda kuna kitu nakosea.
2. Kwenye kushambulia ndio shidaaa, yaani wanaintercept pass ambazo hautegemei,ukisema upige chenga wanachukua kilaini, alafu wanakaba wengiwengi ukimlamba chenga huyu mwingine anachukua n.k, aliyeweza kuwafunga hawa jamaa wa world class anipe maujajanja kwa sababu wameshanifrustrate mpaka natamani kurudi professional level.
3. Naona kama computer inaninyanyasa sana, wakati mwenyewe najiona najuaaa, kama kuna mtu Arusha ambaye ni mchezaji wa hii kitu naomba mechi ili nijipime fresh, siwezi cheza online coze game langu ni cracked.
 
Mkuu naomba unisaidie jindi ya kudownload fifa14 ama 13
 
Mkuu naomba unisaidie jindi ya kudownload fifa14 ama 13

Unazidownload kutoka kwenye torrent site, kama kat.ph, piratebay, n.k ingawa kwa kuwa zimetoka muda utapata shida kidogo kwa sababu seeder ni wachache.Ila inategemea na mahali ulipo watu humu wanazo unaweza kupewa, kama uko arusha naweza kukupa.
 
Niko dar mkuu asante kwa majibu mazuri.
 
Nadhani mwenye na hizi games anaweza kunisaidia mi npo dar.
 
Anaetaka hii Game anione mimi nipo Dar. Nampatia Bure kabisa.
 
Mkuu mimi mara nyingi huwa nachezaga Professional, ila hii World Class naionaga ni mziki. Nikichezaga Legendary huwa naweza kuwafunga mara moja moja au wao wanipige lakini sio kwa goli nyingi ila hawa World Class wananibamizaga sana aisee. Ila kwa sasa hivi hii Game siichezi ila nategemea kupata PC nyingine soon ili na mimi nianze kupiga FIFA.
 

Pamoja mkuu, ngoja namimi nije nijaribu legendary
 
Hii game niliiachaga zamani sana, kufungwa njenje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…