Kozi ni ngeni kwenye soko hii sijawahi sikia.. Labda ungesema unaweza fanya kazi gani haswa
Nafanya kazi zinazohusiana na vyakula pamoja na vinywaji Mf: food analysis, food preservation and storage, food packaging and handling, food inspection, food quality control na zinginezo nyingi.Kozi ni ngeni kwenye soko hii sijawahi sikia.. Labda ungesema unaweza fanya kazi gani haswa
steward managerNafanya kazi zinazohusiana na vyakula pamoja na vinywaji Mf: food analysis, food preservation and storage, food packaging and handling, food inspection, food quality control na zinginezo nyingi.
steward manager
Nafanya kazi zinazohusiana na vyakula pamoja na vinywaji Mf: food analysis, food preservation and storage, food packaging and handling, food inspection, food quality control na zinginezo nyingi.
Yani wewe unaweza kufanya kazi ya hotel na mshahara mnono kama Steward Manager.Heb tuma CV humo mahotelisijakuelewa mkuu
Unavyoongea hivyo kama ww vile umejiajili kumbe hamna lolote unategemea mshahara wa mwisho wa mweziHuna brender utengeneze juice ? Twanga kisamvu pack uza, tengeneza karanga, peanut butter hata mafuta ya nazi . Yaani unasubiri kuajiriwa na unakila kitu kichwani mwako . Acha utani wewe kijana . Yaani una utani sana na maisha yako hujijui tu
Unavyoongea hivyo kama ww vile umejiajili kumbe hamna lolote unategemea mshahara wa mwisho wa mwezi
Mkuu huoni kwamba hiyo kazi uliyofanya kwa miaka nane ndio iliyokuwezesha kupata mtaji uliokupa nafasi ya kujiajiri? Ama sivyo?Kukupa kwangu ufunuo wa akili yako unachungulia mimi nafanya nini? Mimi nimejiajiri na kuajiri wafanyakazi wanaolisha familia zao nao nawaasa kila siku wasibweteke kwenye ajira niliyowapa nawahimiza wakajiajiri kwa kuwa ninachofanya na wao wanaweza kufanya.
Usiwe na shingo ngumu wakati fursa zipo. Nimeacha kazi sector ya umma February 28, 2018 baada ya kufanya kazi ya kuajiriwa na serikali kwa miaka 8 tu.
Endelea kusubiri ajira. Sikupenda kutoa ushauri chanya ili kukudhihaki nilisukumwa kufungua pale uliposhindwa kuona . Ni hiyari yako Mkuu.
Pole kwa usumbufu niliokusababishia.
Mkuu huoni kwamba hiyo kazi uliyofanya kwa miaka nane ndio iliyokuwezesha kupata mtaji uliokupa nafasi ya kujiajiri? Ama sivyo?
Nyumba Ndogo bhanaKukupa kwangu ufunuo wa akili yako unachungulia mimi nafanya nini? Mimi nimejiajiri na kuajiri wafanyakazi wanaolisha familia zao nao nawaasa kila siku wasibweteke kwenye ajira niliyowapa nawahimiza wakajiajiri kwa kuwa ninachofanya na wao wanaweza kufanya.
Usiwe na shingo ngumu wakati fursa zipo. Nimeacha kazi sector ya umma February 28, 2018 baada ya kufanya kazi ya kuajiriwa na serikali kwa miaka 8 tu.
Endelea kusubiri ajira. Sikupenda kutoa ushauri chanya ili kukudhihaki nilisukumwa kufungua pale uliposhindwa kuona . Ni hiyari yako Mkuu.
Pole kwa usumbufu niliokusababishia.
Nyumba Ndogo bhana