Matukutuku
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 269
- 127
Mkuu kama nakuona ulivo jiinamia, pole. Ila ukivuka mataa inakimbia m natoka kimara naenda kndn kamba ipo ila c sana. Pole,Nipo kwenye foreni hii tangia daa moja na nusu hata njia panda ya chuo sitegemei kifika leo. Yaan hii ni hatari sana
Karibuni mwanza
Bora uwakaribishe maana sie hatuna foleni