Meljons JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 3,105 Reaction score 1,409 Apr 30, 2014 #1 Ni zaidi ya masaa matatu sasa usafiri umekuwa shida kutokana na jam kubwa inayosababishwa na mkutano wa maraisi wa EAC hapa AICC. safari zote za moshi arusha ni shida.arusha mjini to ngulelo wengi wanatembea kwa miguu au bodaboda
Ni zaidi ya masaa matatu sasa usafiri umekuwa shida kutokana na jam kubwa inayosababishwa na mkutano wa maraisi wa EAC hapa AICC. safari zote za moshi arusha ni shida.arusha mjini to ngulelo wengi wanatembea kwa miguu au bodaboda
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 40,530 Reaction score 46,614 May 1, 2014 #3 Fanya hivi.., hiyo bajaji yako ibebe mgongoni...