TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 15,264 Reaction score 25,535 May 7, 2020 #2 Mkuu bado upo kwenye hizo kitu?
Mr Mose JF-Expert Member Joined Jun 11, 2016 Posts 369 Reaction score 529 May 7, 2020 #3 Pole sana mkuu, kwa maelezo haya inaonekana umeliwa any way usikate tamaa. Wekeza nguvu zako katika kujifunza hizo mambo za bitcoin. Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu, kwa maelezo haya inaonekana umeliwa any way usikate tamaa. Wekeza nguvu zako katika kujifunza hizo mambo za bitcoin. Sent using Jamii Forums mobile app
G.T.L JF-Expert Member Joined Jul 15, 2012 Posts 1,754 Reaction score 4,033 May 7, 2020 #4 Thanks mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
covid 19 JF-Expert Member Joined May 9, 2014 Posts 8,152 Reaction score 20,348 May 7, 2020 #5 Francis Mrema, Haya mambo mengine mtu unataka kutapeliwa mwenyewe tu..
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 16,684 Reaction score 15,420 May 7, 2020 #6 Pips Man said: Francis Mrema, Haya mambo mengine mtu unataka kutapeliwa mwenyewe tu.. Click to expand... Tamaa. Sent using Jamii Forums mobile app
Pips Man said: Francis Mrema, Haya mambo mengine mtu unataka kutapeliwa mwenyewe tu.. Click to expand... Tamaa. Sent using Jamii Forums mobile app
Ukwaju JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 13,384 Reaction score 11,281 May 7, 2020 #7 SUBIRI MAYAMK HUMU JUKWAANI WATAKAVYOKUSHAMBULIA tulishawaambia kwa sana tu
Msonjo JF-Expert Member Joined Oct 13, 2019 Posts 1,378 Reaction score 2,395 May 7, 2020 #8 Hii kitu ya cryptocurrency kuna jamaa zangu iliwaingia sana akilini sijui iliwafikisha wapi. Shukran kwa kushare nasi. Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu ya cryptocurrency kuna jamaa zangu iliwaingia sana akilini sijui iliwafikisha wapi. Shukran kwa kushare nasi. Sent using Jamii Forums mobile app
K KUTATABHETAKULE JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,454 Reaction score 5,459 May 7, 2020 #9 Always remember sayings of the wise, "Nothing comes out of nothing".
MC44 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2019 Posts 2,168 Reaction score 3,306 May 7, 2020 #10 Yule jamaa yetu atakuwa mdau nn....
FUTURE HUNTER JF-Expert Member Joined Apr 30, 2018 Posts 2,106 Reaction score 2,789 May 7, 2020 #11 Money should be scarce to earn but not too scarce. Pesa halali kuipata ni ngumu lakini pia isiwe ngumu sana. Ukikaa umejua hili si rahisi kutapeliwa kamwe. Sent using Jamii Forums mobile app
Money should be scarce to earn but not too scarce. Pesa halali kuipata ni ngumu lakini pia isiwe ngumu sana. Ukikaa umejua hili si rahisi kutapeliwa kamwe. Sent using Jamii Forums mobile app