nenda kkoo duka za zawadi electronics (mkabala na jengo la simba) kanunue pale ... juzi nlipata transcend gb16 kwa elfu22.... ingawa kuna fake za bei rahisi maduka ya aggrey zipo hadi za elfu20 (sandisc)...
jamaa wana quality products at reasonable price.. hopefully hizo za gb2 na 4gb zitakuwa nafuu zaidi