"FIRST YEAR NJOONI TULE BATA"

Aen Urner

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Posts
380
Reaction score
376
Bsc in Mechanical Engineering ndio program nnayoichukua ktk Chuo kikuu cha DSM pale mjini Kati CoET, M/Mungu akijalia mapema mwez wa 11 ntakuwa nauanza Mwaka wangu wa tatu. Kabla sijafika Chuo akili yangu ilikuwa imekaa kibatabata baada ya A'level kubanwa sana bas nkaambiwa nipige moyo konde nitakuwa huru Chuo na nitakula bata kwa kadri nnnavyotaka, Ni kwel sikatai Chuo kuna bata wengi ila sio kila mwanachuo anawala, wewe Mwaka wa kwanza Chuo kuna bata lakin kitu kimoja unapaswa kujua ni Kama wewe ni mmoja ya wanaostahili kula bata ama la.kujua hilo pekee litakusaidia kufanikisha male go yako chuoni, Bnafsi simjui na sijawahi kula bata sio kwmba simpendi la hasha, ni basi tu sijawahi kumpata.
Wadogo zangu Mwaka wa kwanza "NJOONI TULE BATA".
 
UMESAHAU ,..KUWAAMBIA KABLA YA KUPIGA VITU WATUMIE PROTECTION MAANA , DAH ASEE
 
Hivi pesa zinaendaga wapi sijui ukiwa chuo? ukizishika Mara paa uoni kitu,yaani ukitoka hapo unaenda kusililiza vizuri econometrics, operation research, r program, acturial science, agriculture statistics, external and distributive trade statistics, population analysis, price statistics na hayo masomo ni semister moja tuuu kudadadeki .yaani dah wale wanao sema chuo bata unaona walikuwa wanakudanya tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…