Hivi walio omba kujiunga na vyuo upande wa certificate hivi wao selection zao bado au, kwa maana nilimwombea dogo chuo flani Cha afya majibu yametoka kwa waliochaguliwa lakini naona ni upande wa diploma pekee, wa certificate hakuna, Kuna mwenye kujua Hilo anijuze