kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,034
- 2,124
Kwani hii ni level gani Jomba?Nakura cha Arusha lkin sjafikia levo hizo ofsa
Mkuu huwezi kuamini nimechukua video kabisa, tena wame sokotana mbele yangu Big.mkuu mbona sisi bangi zaidi ya robo karne lakini hizo level zakiboya atujafikia nyie mnavutaga bangi gani mnaosizi hivyo bangi kama imekushinda usiforce hacha tuvute wachache.
Mkuu huwezi kuamini nimechukua video kabisa, tena wame sokotana mbele yangu Big.
Sent using Jamii Forums mobile app
hongera BAVICHA,ulimwona na kamanda ushuzi wa anga?Poleni sana WaTZ wenzangu kwa yote Mungu ni mwema kila wakati, Binafsi nazingatia ya Wizara ya Afya.. Japo nakula sana cha A town no Church, Maombi kila sehemu mpaka kwenye Daladala chooni nikiwa nakata Gooooo goooo usirudi nyuma kuwa Makini Afya ni yako na chaguo ni lako..
Fikra za geto na cha A town nimekula nikapulizaa kiporo cha Wali maharage one two za kutosha mara deep c kiwango cha Wasafi fm mixer Kaaaamasutra.. mara paaap gheto kelele za zisizo eleweka amini jomba kumbe ni Panyaaa kitu nacho puliza kimewabust vichwa wanaona kama Ghetto Father sipo..
Wanacheka wanazunguka Ghetto kama Taxi...nimeenjoy sana kuona Mswepeso unakiwasha kichwani kwangu na kwa Panyaz wote tuna feel so HIGH LEVEL.
Peace & Love kwa wotee mwanangu MASK UKIWA NJEE YA HOME pamoja sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu ila nimevuta toka darasa wanalo anza kuandikia pen.. sasa hivi 35 years old moshi mineli mapaf kwishneii jarikadaee kuch kuchMkuu kama unakula kaya ujue uwezi kabisa..sisi kaya tumevuta takribani miaka 25 hila utawaiga kuona wenge.
Kuna chenye maana kwa wakati huu je umekiona nimekiandika kaka? Au ilimradi ulete nongwa? Be positive be Gentlemen.hongera BAVICHA,ulimwona na kamanda ushuzi wa anga?
CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
Life is good broBange Bange Bange[emoji445][emoji445][emoji445]
20%