Kichwa cha habari umesema ni figo lakini maelezo yanasema upande wa kushoto juu ya mbavu..hebu fanya vipimo hasa ujue tatizo ni nini na upate matibabu
Kwa hospitali zinazopokea bima Mwanza ni nyingi sana ila kubwa hasa ni Bugando na sekoutule ingawa pia kuna Kamanga na agha khan hizi ni private na wanapokea bima