Morocco forever JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 7,121 Reaction score 6,879 Nov 16, 2021 #21 billionea alpha said: Huku kwetu Africa nafikiri tuwaache Mali,Egypt , Ghana ...waende watatuwakilisha vyema. Click to expand... Mkuu unawakosea sana Algeria na Morocco. Hawa ni magiant wa afrika
billionea alpha said: Huku kwetu Africa nafikiri tuwaache Mali,Egypt , Ghana ...waende watatuwakilisha vyema. Click to expand... Mkuu unawakosea sana Algeria na Morocco. Hawa ni magiant wa afrika
Morocco forever JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 7,121 Reaction score 6,879 Nov 16, 2021 #22 redio said: Penalty waliyopewa Ghana dhidi ya South Africa ni mambo ya hovyo yanayo dumaza mpira wetu wa Africa. Click to expand... Hata hivyo nimehappy kuondolewa msauzi aka makatili, co wote.
redio said: Penalty waliyopewa Ghana dhidi ya South Africa ni mambo ya hovyo yanayo dumaza mpira wetu wa Africa. Click to expand... Hata hivyo nimehappy kuondolewa msauzi aka makatili, co wote.
Morocco forever JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 7,121 Reaction score 6,879 Nov 16, 2021 #23 Myahudi Jr II said: Kwamba Ureno hataenda Qatar? si anaingia kwenye playoff Click to expand... Mreno atacheza play off na mshindi wa pili, haijurikani nani atakutananae.
Myahudi Jr II said: Kwamba Ureno hataenda Qatar? si anaingia kwenye playoff Click to expand... Mreno atacheza play off na mshindi wa pili, haijurikani nani atakutananae.
Morocco forever JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 7,121 Reaction score 6,879 Nov 16, 2021 #24 changaule said: Azzuri wameshindwa kufuzu aisee, sijui walibahatisha kwenye Euro. Wanaangukia kwenye mechi za play of Click to expand... Azurri wako vizuri mno,,, ukimwekea timu za amerika ya kusini atawapiga wote isipokuwa Argentina hamuwezi.
changaule said: Azzuri wameshindwa kufuzu aisee, sijui walibahatisha kwenye Euro. Wanaangukia kwenye mechi za play of Click to expand... Azurri wako vizuri mno,,, ukimwekea timu za amerika ya kusini atawapiga wote isipokuwa Argentina hamuwezi.
BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,554 Reaction score 9,247 Nov 16, 2021 #25 Argentina wanaenda kulichukua
changaule JF-Expert Member Joined Jan 10, 2020 Posts 6,047 Reaction score 10,159 Nov 16, 2021 #26 Otterhound said: Azurri wako vizuri mno,,, ukimwekea timu za amerika ya kusini atawapiga wote isipokuwa Argentina hamuwezi. Click to expand... Jana mechi anatakiwa ashinde ili afuzu, katoa sare
Otterhound said: Azurri wako vizuri mno,,, ukimwekea timu za amerika ya kusini atawapiga wote isipokuwa Argentina hamuwezi. Click to expand... Jana mechi anatakiwa ashinde ili afuzu, katoa sare
daraja la kigamboni JF-Expert Member Joined Apr 28, 2016 Posts 3,479 Reaction score 3,405 Nov 16, 2021 #27 Otterhound said: Mreno atacheza play off na mshindi wa pili, haijurikani nani atakutananae. Click to expand... Timu 12 zitacheza play off Bado haijapangwa atakutana na nani
Otterhound said: Mreno atacheza play off na mshindi wa pili, haijurikani nani atakutananae. Click to expand... Timu 12 zitacheza play off Bado haijapangwa atakutana na nani