Yaan hilo kombe la dunua litakuwa la ajabu ajabu hasa mechi za mwanzo.
Mfano
Norway vs Uganda
Iraq vs iceland etc
Kuna.mechi nyingi sana zitakuwa za ajab ajab hasa mwanzoni mwa michuano maana timu zna kuwa nyingi sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]