Field kwa first year

kato Kazi

Member
Joined
Sep 21, 2016
Posts
38
Reaction score
21
Hivi ukienda chuo first year kunakuwa na field mfano faculty ya BAEd??? Msaada plz
 
Hivi ukienda chuo first year kunakuwa na field mfano faculty ya BAEd??? Msaada plz
duh... bila mkuu field ni baaada ya kumaliza mwaka wa kwanza kwa hapa UDSM... pia BAEd ni degree program na sio faculty...
 
Hivi ukienda chuo first year kunakuwa na field mfano faculty ya BAEd??? Msaada plz
Hiyo ni Degree Program na sio faculty...
Afu pia hiyo BaEd ni kila chuo baada ya kumaliza mwaka wa kwanza lazima uende Field,pia baada ya kumaliza mwaka wa pili utaenda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…