afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,260
- 2,689
Umenena kweliChukua TVs yoyote hauto jutia na utanikumbuka utarudi kugonga like
Mkuu hivi kuna honda nyingi sana naona zinatengenezwa India hata yamaha na suzuki naona nyingi made in India, vipi na zenyewe Zina ubora kama za kutoka Japan?Pikipiki ni honda hizi za kichina kihindi utafahamina na mafundi wote utakuwa unaenda huko mara kwa mara.