Wapendwa wanajamvi mie nlikua
nnaomba wanajamvi ambao mnaleta incidences,situations au chochote na
kisha wanajamii wanatiririka kwa ushauri,maoni,jokes na wakati mwingine
hara kupata exactly ulichohitaji au kusaidiwa kwa jinsi yeyote ile
ningeomba bhasi tuwe tunarudi hapahapa jamvini ku-appriciate kile
wanajamvi wamekuprovide na kama haitoshi bhasi tukaendelea kukuprovide
vitu adimu. Hii pia itasaidia kuboresha jamvi lakini pia kutanua wigo wa
jamvi mara tu utatuzi wa situations unapo onekana wazi au kuthibitishwa
na aliepata ufumbuzi,
Ni hayo tu wanajamvi,
Regards.