Kaaazi kweli kweli. Kwani wanashangaa nini. Lazima mipango ya terror inahusisha wakazi ambao wanafahamu mahali husika. Hata kama hawapati details zote but lazima wapate upenyo wa siri za mahali pale, in one way or the other. Si kitu cha kushangaza!!!