Unaongea kama unapumulia kwenye njia isiyo na meno..niko hapa airport pia.nilitakiwa ku connect na ndege ya kwenda dubai saa 7.hadi saa hii 6:30.hawa jamaa ni Washenzi kwa ujumla