Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,048 Reaction score 13,495 May 7, 2016 #21 adakiss23 said: Mwashiuya kahamia sinza kawa mlevi balaa. Yule nampa msimu mmoja atarudi kijijini kwao Click to expand... Safarss23 said: Mwashiuya kahamia sinza kawa mlevi balaa. Yule nampa msimu mmoja atarudi kijijini kwao Click to expand... Aiseee.Safari ya mwakaleli itaanza soon
adakiss23 said: Mwashiuya kahamia sinza kawa mlevi balaa. Yule nampa msimu mmoja atarudi kijijini kwao Click to expand... Safarss23 said: Mwashiuya kahamia sinza kawa mlevi balaa. Yule nampa msimu mmoja atarudi kijijini kwao Click to expand... Aiseee.Safari ya mwakaleli itaanza soon
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,404 Reaction score 29,811 May 7, 2016 #22 Hivi kwa nini SNURA FC wachezaji wake hawatakiwi ulaya??
KIKAZI JF-Expert Member Joined Aug 26, 2014 Posts 1,369 Reaction score 1,517 May 7, 2016 #23 safi sana kaza mdau
M Moral H JF-Expert Member Joined Jan 3, 2016 Posts 695 Reaction score 514 May 9, 2016 #24 Black Bat said: Naye wa mbagala huyu kumbe? Click to expand... Mbagala ni makazi ya timu ya azam anayichezea lakini yeye anatokea pasua moshi
Black Bat said: Naye wa mbagala huyu kumbe? Click to expand... Mbagala ni makazi ya timu ya azam anayichezea lakini yeye anatokea pasua moshi
M mwita ke mwita JF-Expert Member Joined Aug 13, 2010 Posts 8,070 Reaction score 3,792 May 9, 2016 #25 katuwakilishe, komaa timu hiyo ipande daraja, kwa mwaka mzima utakuwa umezoea mazingira
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 23,075 Reaction score 48,073 May 9, 2016 #26 tuwakilishe vyema tupate wachezaji 6 tuu huko nje na wawe wanacheza timu ya Taifa itafanya vizuri katika mashindano makubwa bila hivyo tutabaki kuiombea kila siku...
tuwakilishe vyema tupate wachezaji 6 tuu huko nje na wawe wanacheza timu ya Taifa itafanya vizuri katika mashindano makubwa bila hivyo tutabaki kuiombea kila siku...
Bwana Mapesa JF-Expert Member Joined Apr 28, 2011 Posts 2,551 Reaction score 1,777 May 9, 2016 #27 ghona18 said: Mchezaji mzuri hatoki masaki mkuu Click to expand... Masaki wanatoka "mafisadi chipukizi & Majipu chipukizi".[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
ghona18 said: Mchezaji mzuri hatoki masaki mkuu Click to expand... Masaki wanatoka "mafisadi chipukizi & Majipu chipukizi".[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]