KaribuSwadakta.
😅😅😅Kanisani uambiwe mchango 50k wa ukarabati wa nyumba ya pastor and hauna kitu .
Stress zinaaza upyaa.
Sadaka tunatoa mmoja baada ya mwingine duh!Kanisani uambiwe mchango 50k wa ukarabati wa nyumba ya pastor and hauna kitu .
Stress zinaaza upyaa.
Namalizia..kuwa smartUko mtaani maybe huna kazi/umekata tamaa/school dropout na unakosa sehemu ya kuanzia. Unaweza fanya haya yatakusaidia
•Tengeneza marafiki wa rika na daraja tofauti. Piga story na watu.
•Tafuta chochote kitakacho kuweka busy.Eg kuchora,kuandika,kucheza mpira,msanii andika nyimbo,kusoma vitabu N.K.
•Punguza muda wa kuangalia/kutumia tv/social media [social destructives]
•Kwa kila pesa utakayopata either umepewa/umeokota save 15% to 30%.
•Jifunze kitu kipya kila siku.Eg kushona,kupika.
•Sikiliza muziki unaoupenda/ [usiruhusu stresses za kua mtaani zikutese].
•Kila wazo(idea) unalopata either la biashara au maisha kwa ujumla make sure unaliandika.
•Abudu unachoamini kama ni mskitini au kanisani nenda.
•Kua karibu na familia.
•Sikiliza ushauri.
•Kua msafi [smart]
#Bellyache
Nimejifunza kituUko mtaani maybe huna kazi/umekata tamaa/school dropout na unakosa sehemu ya kuanzia. Unaweza fanya haya yatakusaidia
•Tengeneza marafiki wa rika na daraja tofauti. Piga story na watu.
•Tafuta chochote kitakacho kuweka busy.Eg kuchora,kuandika,kucheza mpira,msanii andika nyimbo,kusoma vitabu N.K.
•Punguza muda wa kuangalia/kutumia tv/social media [social destructives]
•Kwa kila pesa utakayopata either umepewa/umeokota save 15% to 30%.
•Jifunze kitu kipya kila siku.Eg kushona,kupika.
•Sikiliza muziki unaoupenda/ [usiruhusu stresses za kua mtaani zikutese].
•Kila wazo(idea) unalopata either la biashara au maisha kwa ujumla make sure unaliandika.
•Abudu unachoamini kama ni mskitini au kanisani nenda.
•Kua karibu na familia.
•Sikiliza ushauri.
•Kua msafi [smart]
#Bellyache
Yes siku ukiwa hauna sadaka usiende church utahaibika.Sadaka tunatoa mmoja baada ya mwingine duh!
Yah watu wana mengi na kuna mengi ya kujifunza.Ongea na watu jichanganye fursa zipoHakika na mm sku hz nmeanza tabia ya kujichanganya maana zamani skuaga hv ila nataka niiache tabia ya kujitnga napitwa na fursa nyng
Uko mtaani maybe huna kazi/umekata tamaa/school dropout na unakosa sehemu ya kuanzia. Unaweza fanya haya yatakusaidia