Falsafa ya Kupitiliza ni Hatari!

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
10,498
17,128
1. Ukiongea kupitiliza, utadanganya
2. Ukiwaza kupitiliza, utaumwa kichwa
3. Ukilia kupitiliza utavimba macho yazibe
4. Ukipenda kupitiliza, utakufa mapema!
5. Ukijali kupitiliza, watakuona wa kawaida
6. Ukicheza kupitiliza, utaboa
7. Ukiamini kupitiliza, utasalitiwa
8. Ukifanya kazi kupitiliza, utaharibu
9. Ukila kupitiliza, utavimbewa ufe
10. Ukilala kupitiliza, utakufa njaa
11. Ukispenda kupitiliza, uzeeni utateseka
12. Ujiremba kupitiliza utakuwa kituko
13. Ukichunguza kupitiliza huli
14. Ukiyachukulia maisha serious kupitiliza utakosa raha
15. Ukivumilia kupitiliza utakula vilivyooza

Lakini

✅ Ukimuomba kupitiliza Mungu utapata kila kitu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…