Labda kawashindeni nyie mlio wadhaifu.... how come Dume zima ujishushe kwa Mwanamke hata Koran na Biblia haziwataki... Bujibuji tuombe radhi mwanaizaya wewe....FaizaFoxy the determined lady, ukisoma tu andiko lake unarudi nyuma.
Huyu ni miongoni mwa wanawake wachache ninao tamani kuandika biography zao.
Ni mzaliwa wa wilayani Rufiji mkoani JF.
Graduated in Canada 1981 extelecom engineering.
Ni mwanamke pekee anayeweza kuwashinda kwa hoja Wanaume 1000 na mwisho wa siku wakasarenda.
FaizaFoxy sio wa kispotispoti ujue.
Ana facts, ana references, habishi from nowhere.
Msomeni kwa kina mumwelewe FaizaFoxy
NB:-
Ukiona hajakuelewa sasa, mueleweshe tatatibu baadae.
Natarajia huu Uzi Utaniletea masimango ya kutosha, Niko tayari kuyapokea
Kumbe nae hula banBahati Mbaya kanyukwa Ban saa hizi.
Angekuja kutekeleza 'ukifimbo cheza' wake.
Duuh, hahahFaiza Foxy ni taasisi ya Bakwata....hiyo ID inatumiwa na more than 20 people
FaizaFoxy anasimamia hojka zake, hayumbishwi hata muwe kikundiLabda kawashindeni nyie mlio wadhaifu.... how come Dume zima ujishushe kwa Mwanamke hata Koran na Biblia haziwataki... Bujibuji tuombe radhi mwanaizaya wewe....
Kibushiti Faiza hakina Jipya zaidi ya kuandika kimachinga Nna,Nntu n.k Umependa ufupi wake nini?
Labda kawashindeni nyie mlio wadhaifu.... how come Dume zima ujishushe kwa Mwanamke hata Koran na Biblia haziwataki... Bujibuji tuombe radhi mwanaizaya wewe....
Kibushiti Faiza hakina Jipya zaidi ya kuandika kimachinga Nna,Nntu n.k Umependa ufupi wake nini?
Wewe unamfahamu kupitia JF Mimi namfahamu physically katika uhalisia wake.... Hayo aliyoyasema ni uongo mtupu mwambie alete ithibati kama atawezaJF umeijua lini? Tuulize tuliotokea Jambo Forums
Ukikiona kilivyo utacheka hadi ufe kisha utajihurumia kinaishi kariakooLabda kawashindeni nyie mlio wadhaifu.... how come Dume zima ujishushe kwa Mwanamke hata Koran na Biblia haziwataki... Bujibuji tuombe radhi mwanaizaya wewe....
Kibushiti Faiza hakina Jipya zaidi ya kuandika kimachinga Nna,Nntu n.k Umependa ufupi wake nini?
Hata Mimi nimulizwa hilo swaliHamna wadau nisiowapenda kama wale wasioongea kwa hoja ila wenyewe wanakimbilia kusema "JF umejiunga lini?"
Sasa nashindwa kuelewa anadhani kipindi yeye yupo JF wewe ulikua umelala tu haufanyi maswala yoyote ambayo yamekupa maarifa ya leo hii kukaa naye meza moja mkapanga hoja au vipi?
Wanakera sana watu wa hivi
....mbona husomeki mangi?.,kwahiyo sio tena 'taasisi?'Ana Roho ya paka shume yule mwanamke
Anamapungufu yake kama mwanadamu lakn yuko vizuri, anapafu kubwa
kuna kauli wenyewe wanasema "kuchamba kwingi, kutoka na m@v!"FaizaFoxy the determined lady, ukisoma tu andiko lake unarudi nyuma.
Huyu ni miongoni mwa wanawake wachache ninao tamani kuandika biography zao.
Ni mzaliwa wa wilayani Rufiji mkoani JF.
Graduated in Canada 1981 extelecom engineering.
Ni mwanamke pekee anayeweza kuwashinda kwa hoja Wanaume 1000 na mwisho wa siku wakasarenda.
FaizaFoxy sio wa kispotispoti ujue.
Ana facts, ana references, habishi from nowhere.
Msomeni kwa kina mumwelewe FaizaFoxy
NB:-
Ukiona hajakuelewa sasa, mueleweshe tatatibu baadae.
Natarajia huu Uzi Utaniletea masimango ya kutosha, Niko tayari kuyapokea
hojka = hojaFaizaFoxy anasimamia hojka zake, hayumbishwi hata muwe kikundi
Siku hizi wake wenza wanapendana hadi wanasifiana.FaizaFoxy the determined lady, ukisoma tu andiko lake unarudi nyuma.