dogo kubwa
JF-Expert Member
- May 21, 2016
- 798
- 697
ninakubaliana na wewe kwa asilimia 99 mkuu,kwa identity ya mwanamke kwanza anacapture attention ya wanaume automatically uwezo wa kutoa hoja kwa wengi unakwisha coz naturally mwanaume kubishana na mwanamke haijakaa sawa,,,faizafoxy sio mtu mmoja,na ni kikundi walau cha watu wenye ka upeo flan ka kufikiriFaiza Foxy ni taasisi ya Bakwata....hiyo ID inatumiwa na more than 20 people
mkuu nahis ile ni ID inatumiwa na watu wengi tena wanaumeAna Roho ya paka shume yule mwanamke
JF umeijua lini? Tuulize tuliotokea Jambo ForumsKakuongopea pakubwa sana
Taasisininakubaliana na wewe kwa asilimia 99 mkuu,kwa identity ya mwanamke kwanza anacapture attention ya wanaume automatically uwezo wa kutoa hoja kwa wengi unakwisha coz naturally mwanaume kubishana na mwanamke haijakaa sawa,,,faizafoxy sio mtu mmoja,na ni kikundi walau cha watu wenye ka upeo flan ka kufikiri
HahahhahaAtaanza na ww mwenyewe kwa kusema hv ulienda shule kusomea ujinga tatatibu maana yake nn?
HahahhahaJinsia yangu unaifahamu we Wahed
Wajinga tu hao woteNi kweli huyu mama ni jembe lakini sio kuzidi wote..kuna mtu anaitwa kiranga huyu ni hatari sana.. au akina maxshimba..Jew..au kyoma au kichuguu..mkuu wa chuo n.k..kuna majembe yametulia
Masala kulangwaFaizaFoxy roho ngumu tu hakuna cha zaidi alichonacho...Google chochote unachokitafuta,mada yoyote unayoihitaji kwa fikra unazozitaka wewe utaI pata, leo tuna mwaka 2017 kipi hakijaandikwa..faiza akisoma mada kabla hajachangia anaingia google kutafuta articles zinazokubaliana na mawazo yake,,ambazo hata wewe juu ya lolote utazipata,,akishazipata anaweka link as if ndiyo zimeandikwa au ndivyo mambo yalivyo,,yote katika yote identity yake kama mwanamke ni CREDIT muhim sana anayoitumia sababu mwanaume kubishana na mwanamke NATURALLY atakushinda,halafu na faiza anajidefence kwa dharau as if ana hoja nyingine,ndiyo maana ya kusema ana roho ngumu hata akiwa hana hoja akijishaua,,,,,,,,na mwana fa alishaimba,,,,,,,,,mwanaume kwa dem ni kama mfupa kwa fisi
Kahabambona anajiita "harlot"?
harlot ni shoka?