Dereva ndiye anayeandikiwa kosa... kwanini?
Dereva ndiye anayeandikiwa kosa... kwanini?
kwa haraka, mpaka mtu alivae jina la Dereva, kuna vitu vitatu vinahusika... makosa mengi yanatokana na upungufu wa vigezo au hitilafu katika hivyo vitu.
Hua wanaandika namba za leseni na namba za gari, ile namba ya leseni si ndio dereva mkuu? Remember now days zile namba za leseni zipo computerized na finger print umeweka so ni rahisi tu kukupata wakiamua. Gari nalo the same, in case wewqe hupatikani the wanaweza kulipata GARI ambalo mwishoni mwa siku wakiamua, dereva mpya anaweza kusaidia kujua huyo aliye endesha siku kadhaa zilizo pita ni nani na yupo wapi
This is really really lame. Duniani kwa wenzetu gari haliwezi kuandikiwa kosa, kosa ni la mwendeshaji. Hata kama gari halina taa, gari hawezi kuwa na makosa. Aliyeliendesha ndie mwenye makosa. Gari lisingetoka kuingia barabarabi lenyewe kama halikuendeshwa.Hua wanaandika namba za leseni na namba za gari, ile namba ya leseni si ndio dereva mkuu? Remember now days zile namba za leseni zipo computerized na finger print umeweka so ni rahisi tu kukupata wakiamua. Gari nalo the same, in case wewqe hupatikani the wanaweza kulipata GARI ambalo mwishoni mwa siku wakiamua, dereva mpya anaweza kusaidia kujua huyo aliye endesha siku kadhaa zilizo pita ni nani na yupo wapi
Mwanzisha mada dukuduku lake lina logic. Ila mimi nadhani kwa hizi nchi zetu ambazo details za raia haziko kwenye database inaweza kuwa tricky kidogo ku-deal na madereva wakorofi.This is really really lame. Duniani kwa wenzetu gari haliwezi kuandikiwa kosa, kosa ni la mwendeshaji. Hata kama gari halina taa, gari hawezi kuwa na makosa. Aliyeliendesha ndie mwenye makosa. Gari lisingetoka kuingia barabarabi lenyewe kama halikuendeshwa.
Kwenye ncgi kama yetu ambayo kudanganyana ni kwingi kuhusu vita bulisho, bado wanajua system ya utambuzi haipo, hata hizo mashine walizokuja nazo hazitambui leseni iliyofanya makosa bali gari. Which shows kwamba vitanbulisho including leseni havina central database ya utambuzi.
Hakuna dereva anaeweza kuacha udereva kwasababu amepewa speeding ticket, why charge the car then?
Hatuna centralized system ambayo ukiwa na kosa kwenye leseni au kwenye kitambulisho chako inaweza kuonyesha kwanba una oustanding arrest warrant, unpaid traffic ticket nakadhalika.
Ninachitaka kusema hapa ni kwamba hatuna humanized system. Tuna instrumentalized system. Unakamata gari badala ya mtu, hatuwezi kufikia kuweka points au kwenye leseni...not in a near future. Inasikitisha lakini ndio hivyo.
Kitu cha ajabu ni kwamba wanatumia leseni ili kuingiza offence, lakini hawatumii leseni kudai faini, wanatumia number ya gari. Sasa leseni ya kazi gani hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri wako?...This is really really lame. Duniani kwa wenzetu gari haliwezi kuandikiwa kosa, kosa ni la mwendeshaji. Hata kama gari halina taa, gari hawezi kuwa na makosa. Aliyeliendesha ndie mwenye makosa. Gari lisingetoka kuingia barabarabi lenyewe kama halikuendeshwa.
Kwenye ncgi kama yetu ambayo kudanganyana ni kwingi kuhusu vita bulisho, bado wanajua system ya utambuzi haipo, hata hizo mashine walizokuja nazo hazitambui leseni iliyofanya makosa bali gari. Which shows kwamba vitanbulisho including leseni havina central database ya utambuzi.
Hakuna dereva anaeweza kuacha udereva kwasababu amepewa speeding ticket, why charge the car then?
Hatuna centralized system ambayo ukiwa na kosa kwenye leseni au kwenye kitambulisho chako inaweza kuonyesha kwanba una oustanding arrest warrant, unpaid traffic ticket nakadhalika.
Ninachitaka kusema hapa ni kwamba hatuna humanized system. Tuna instrumentalized system. Unakamata gari badala ya mtu, hatuwezi kufikia kuweka points au kwenye leseni...not in a near future. Inasikitisha lakini ndio hivyo.
Kitu cha ajabu ni kwamba wanatumia leseni ili kuingiza offence, lakini hawatumii leseni kudai faini, wanatumia number ya gari. Sasa leseni ya kazi gani hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninachitaka kusema hapa ni kwamba hatuna humanized system. Tuna instrumentalized system. Unakamata gari badala y
Binafsi nakuelewa sana mkuu unachotaka kifanyike but remember hata huko unako fanya kama reference ni kwamba haikutokea tu wakawa hivyo walivyo, kuna sehemu walianzia and then they kept on improving hadi na sisi tunataka ku copy from them; tuchukue mfano wa Marekani hasa issue ya parking, ukizidisha ule muda wa kupaki, kuna mtu atakuja kukuwekea kikaratasi cha pesa uliozisha then ye huyoo anasepa zake, wewe ndio utamtafuta, ukiachana nae then ngoma inaanza kupiga na riba, siku ya kwenda ku renew leseni yako ( au chochote kilicho connected na leseni yako ) utakutana na hayo madai; coming back to Tanzania, tualiza na leseni za analogy ambazo kwa teknolojia ya sasa nadhani tungeweza kuzitengeneza tutakavyo mtaani bila kwenda TRA au kwenye mamlaka yoyote husika and then traffic hata akiniomba leseni Nampa na yeye wala asingeweza kujua kama ni feki au la, leseni za sasa hivi zimekua computerized na wao kama traffic wanaweza ku verify kama ni leseni halali au laa, so nadhani kwakua wanaendelea ku computerize everything, huko mnako taka tutafika tu bila shika yeyote, huwezi jua, huenda hata haya makossa kama ya speed nk wanaweza kuja kutupunguzia marks zetu za madaraja wakati wa ku renew leseni baada ya miaka 3. Hata Rome haikujengwa siku moja jamani.This is really really lame. Duniani kwa wenzetu gari haliwezi kuandikiwa kosa, kosa ni la mwendeshaji. Hata kama gari halina taa, gari hawezi kuwa na makosa. Aliyeliendesha ndie mwenye makosa. Gari lisingetoka kuingia barabarabi lenyewe kama halikuendeshwa.