Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,090
- 11,272
Ok okAsante...
Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, nahitaji kufaham ni muda gani mbegu za passion zinachukua mpaka mda wa kuvuna.MICHE YA MATUNDA YA MUDA MFUPI SASA INAPATIKANA KWA BEI NAFUU TANZANIA
FAIDIKA NA KILIMO CHA MATUNDA [emoji519][emoji3056][emoji521][emoji268][emoji267]
[emoji267] MATUNDA NI CHAKULA
[emoji268]MATUNDA NI DAWA
[emoji519] MATUNDA NI UTAJIRI
Jipatie Miche Bora ya matunda kutoka kwa wataalamu wakilimo waliochagua na kupendekeza Miche inayostahimili ukame na ya muda mfupi lakini mazao mengi
MAWASILIANO
Unaweza kuwasiliana nasi kwa kupiga simu namba
0752799673 AU 0746850361
Pia Tunakukaribisha kutembelea bustani yetu iliyopo Morogo SUA ...
Kwa ajili ya kupata elimu pamoja na huduma ya Miche boraa ya Matunda Kama vile:
Embe.
Parachichi
Chungwa
Papai
Komamanga
Passion (yellow & purple)
Ndimu kubwa
Limao
Chenza
Stafeli
Tope tope
Migomba n.k
Miche yote ni ya muda mfupi na bei zetu ni sh 2500 tu Kwa mche
TUTAKUTUMIA MKOA WOWOTE ULIPO.
Akikujibu naomba unitagi pleaseMimi ni mkazi wa Dar es Salaam, nahitaji kufaham ni muda gani mbegu za passion zinachukua mpaka mda wa kuvuna.
Na ni msimu gani unastahili kupanda ili nije kupata faida kwenye mavuno yangu.
Na ni miche mingapi ntapanda kwenye eneo la meter 20/20 (yaani 400m²)?
Gharama zi mbegu zimekaaje?
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
[emoji1] sawa kiongozi, ngoja tumsubiri.Akikujibu naomba unitagi please
Mpaka Leo hajajibu
Kutoka kupanda mpaka kuanza kuokota matunda ni miezi tisa.Mimi ni mkazi wa Dar es Salaam, nahitaji kufaham ni muda gani mbegu za passion zinachukua mpaka mda wa kuvuna.
Na ni msimu gani unastahili kupanda ili nije kupata faida kwenye mavuno yangu.
Na ni miche mingapi ntapanda kwenye eneo la meter 20/20 (yaani 400m²)?
Gharama zi mbegu zimekaaje?
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app