kichakaa man JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 5,497 Reaction score 5,186 May 8, 2019 #21 Duh
Rakims JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 5,013 Reaction score 4,621 May 8, 2019 Thread starter #22 kichakaa man said: Duh Click to expand... ndio mkuu?
Rakims JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 5,013 Reaction score 4,621 Jan 24, 2023 Thread starter #23 Seen
M Mshimondo New Member Joined Feb 26, 2024 Posts 2 Reaction score 0 Feb 26, 2024 #24 Kwenye kupunguza uzito unatumiaje?
M Mshimondo New Member Joined Feb 26, 2024 Posts 2 Reaction score 0 Feb 27, 2024 #25 Qist unatumiaje kuondoa sumu mwilini?
Rakims JF-Expert Member Joined Jun 4, 2014 Posts 5,013 Reaction score 4,621 Nov 1, 2024 Thread starter #26 Mshimondo said: Qist unatumiaje kuondoa sumu mwilini? Click to expand... Kipimo vikombe viwili vya kahawa size ya kati kabla ya kula kimoja kwenye maji ya uvuguvugu asubuhi. Lakini ni vema ukaichanganya na sanamaki ya unga. Rakims
Mshimondo said: Qist unatumiaje kuondoa sumu mwilini? Click to expand... Kipimo vikombe viwili vya kahawa size ya kati kabla ya kula kimoja kwenye maji ya uvuguvugu asubuhi. Lakini ni vema ukaichanganya na sanamaki ya unga. Rakims
DR Mambo Jambo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 12,852 Reaction score 29,048 Nov 3, 2024 #27 Rakims said: Kipimo vikombe viwili vya kahawa size ya kati kabla ya kula kimoja kwenye maji ya uvuguvugu asubuhi. Lakini ni vema ukaichanganya na sanamaki ya unga. Rakims Click to expand... Rakims Kumbe Bado Upo kiongozi? Umepotea San
Rakims said: Kipimo vikombe viwili vya kahawa size ya kati kabla ya kula kimoja kwenye maji ya uvuguvugu asubuhi. Lakini ni vema ukaichanganya na sanamaki ya unga. Rakims Click to expand... Rakims Kumbe Bado Upo kiongozi? Umepotea San
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,121 Reaction score 1,249,307 Nov 3, 2024 #28 Sawa sawa
S samirer New Member Joined Aug 19, 2024 Posts 4 Reaction score 2 Nov 8, 2024 #29 Rakims said: Kipimo vikombe viwili vya kahawa size ya kati kabla ya kula kimoja kwenye maji ya uvuguvugu asubuhi. Lakini ni vema ukaichanganya na sanamaki ya unga. Rakims Click to expand... Samahani Rakims, hii ndio qist al hindi?? Niliambiwa ni fusho la watu wa nyota ya nge je ni kweli?
Rakims said: Kipimo vikombe viwili vya kahawa size ya kati kabla ya kula kimoja kwenye maji ya uvuguvugu asubuhi. Lakini ni vema ukaichanganya na sanamaki ya unga. Rakims Click to expand... Samahani Rakims, hii ndio qist al hindi?? Niliambiwa ni fusho la watu wa nyota ya nge je ni kweli?