Samahani ndugu wanajukwaa. Naona habari za mapenzi zinapewa nafasi kubwa humu. Je kuna faida kufanya mapenzi kwa mwanaume au mwanamke? Kuna tatizo gani mtu asipofanya hzo habari zenu za mgegedo?

ukweli faida zake ni kubwa hata wewe umepatikana kwa watu kufanya mapenzi , pili usipofanya pia hakuna madhara yoyote utakayo yapata sana afya yako itakuwa imara zaidi