Gunia la misumarihuyu jamaa katumwa na watu wa yard za brevis, sio bure!
Poa soma HASARA ZA GARI AINA YA TOYOTA BREVISMbona mnatuchanganya wengine ooh inabwia sana wese wengine wastani,tuelewe nini sasa
Pia soma HASARA ZA GARI AINA YA TOYOTA BREVIShuyu jamaa katumwa na watu wa yard za brevis, sio bure!
Pia soma HASARA ZA GARI AINA YA TOYOTA BREVISKuleni matango pori hapa alafu mjichanganye ukalinunua utakuja kulia!
Pia soma HASARA ZA GARI AINA YA TOYOTA BREVISHamna gari hapo ukijichanganya ukalinunua hata uliuze million 3 hupati mteja
Pia soma HASARA ZA GARI AINA YA TOYOTA BREVISMagari ya hovyo sana hayo
Ulikuwa unatumia approximately sh.ngapi kwenye mafuta mkuu?hii gari ni gharama san na ndoa ya kikristo..Nilikuwa nayo,haikuwahi kuni sumbua kwenye ubovu,shida mafuta,service,vispare.Nilikuwa naishi mbweni kazi posta aisee sitaki kuikumbuka kabisa,ndio maana yame jaa bei rahisi kwa sasa.
Kama hilo la 3.0L ukijichanganya umeishaUlikuwa unatumia approximately sh.ngapi kwenye mafuta mkuu?